SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Ni nani aliyekufundisha maana ya kuumia kimya kimya?

“Ni nani aliyekufundisha maana ya kuumia kimya kimya? ”

Labda ulikua mdogo…
Labda ulikuwa kwenye ndoa, urafiki au familia…
Ulipitia maumivu makali, lakini ukanyamaza — si kwa sababu hayakuuma, ila kwa sababu hakuna aliyekuwa tayari kukusikiliza.

Ni nani alikufundisha maumivu haya ya ndani? Ulijifunza nini?
Tuambie, usikose sehemu ya hii sauti ya mtaa

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #UkweliWaMaumivu #HadithiZaUkweli #KimyaKinaSauti

SAUTI YA MTAA : Ni tukio gani lilikufanya ukubali kwamba maisha si ya haki?
SAUTI YA MTAA : Ni ndoto ipi ambayo ulishindwa kuifanikisha hadi leo? Na kwa nini?” 
SAUTI YA MTAA : Je, uliwahi kumwambia mtu ‘Nakupenda’ huku ukijua si kweli?
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumpoteza Rafiki Kisa Pesa
SAUTI YA MTAA : JE ULISHAWI KUONA MTU ALIYEFANANA KABISA NA MTU ULIYEKUWA UNAMKUMBUKA
SAUTI YA MTAA : Ni Kitu Gani kilikufanya Ukapoteza Imani kw Binadamu
SAUTI YA MTAA : Ni kipi Ulichoambiwa Ukiwa Mtoto Kilikuvunja Moyo hadi leo ?
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumuona Mzazi wako Akilia ? Ilikuaje ?   
SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti