SAUTI YA MTAA β Swali Tata
“Ni kipi ulichowahi kuambiwa ukiwa mtoto kilichokuvunja moyo hadi leo? π’”
Maneno ya watu wazima huwa hayafi kirahisiβ¦
Wengine tuliambiwa hatuwezi, wengine tukachekwa, wengine tukavunjwa mapema sana.
Ulisema hutawahi kusahau? Leo ni wakati wa kuzungumza.
Tupia maoni yako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #ManenoYaliyouma #MaumivuYaUtoto #UkweliWaMtaa
Somana Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumuona Mzazi wako Akilia ? Ilikuaje ?Β Β Β
SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti