Je, uliwahi kumwambia mtu ‘Nakupenda’ huku ukijua si kweli? ”
Ulimwambia kwa sababu ya huruma? Kuepuka kumuumiza?
Au ulikuwa tu unacheza na hisia zake?
Maneno hayo yalimuumiza baadaye… au wewe ndiyo ulijiumiza mwenyewe?
Tueleze ukweli wa moyo wako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #NakupendaYaUongo #MaumivuYaMapenzi #UkweliWaHisia
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumpoteza Rafiki Kisa Pesa
SAUTI YA MTAA : JE ULISHAWI KUONA MTU ALIYEFANANA KABISA NA MTU ULIYEKUWA UNAMKUMBUKA
SAUTI YA MTAA : Ni Kitu Gani kilikufanya Ukapoteza Imani kw Binadamu
SAUTI YA MTAA : Ni kipi Ulichoambiwa Ukiwa Mtoto Kilikuvunja Moyo hadi leo ?
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumuona Mzazi wako Akilia ? Ilikuaje ?
SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti