SAUTI YA MTAA β Swali Tata
“Je, kuna mtu aliyekujua vizuri sana kisha akakusaliti? ”
Yule ambaye ulikuwa unamwamini, unamshirikisha kila jambo, unamtetea kwa wengineβ¦
Lakini mwisho wa siku, akakufanya kitu ambacho hata adui hangeweza kufanya.
Soma Pia Hii : SAUTI YA MTAA : Je, wanawake kwenye muziki wanahukumiwa zaidi kwa muonekano kuliko kipaji
Ulijisikiaje? Uliumia kiasi gani?
Tupia maoni yako hapa chini π
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MaumivuYaUsaliti #UkweliWaMtaa