SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Ushawahi kumuona mzazi wako akilia? Ilikuaje?”
Wazazi wengi hujificha wanapoumia, lakini kuna nyakati maumivu huwashinda…
Kumuona mzazi analia ni hali inayogusa moyo kwa kina.
Soma na Hii Pia : SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti
Ilitokea lini? Ulihisi nini?
Tupia maoni yako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MzaziAnalia #MaumivuYaNdani #UkweliWaMaisha