SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Ni kitu gani kilikufanya ukapoteza imani kwa binadamu? ”
Kuna mambo yakikukuta, moyo wako unajifunza kutotegemea tena mtu yeyote…
Labda ni usaliti, uongo, au mtu uliyesaidia ndiye aliyekuuma zaidi.
Ilikuwa hali gani? Na tangu siku hiyo, umekuwa mtu wa aina gani?
Tuambie hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #ImaniIliyopotea #MaishaNaWatu #UkweliWaMtaa
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Ni kipi Ulichoambiwa Ukiwa Mtoto Kilikuvunja Moyo hadi leo ?
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumuona Mzazi wako Akilia ? Ilikuaje ?
SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti