Ni ndoto ipi ambayo ulishindwa kuifanikisha hadi leo? Na kwa nini?”
Ulikuwa na ndoto kubwa…
Labda kuwa msanii, daktari, mchezaji, au kuisomesha familia nzima —
Lakini mambo yalibadilika. Ulimwengu haukukupa nafasi.
Ilikuwa ndoto gani? Na nini kilikuzuia?
Tushirikishe hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #NdotoIliyokufa #UkweliWaMaisha #MaumivuYaNdani
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Je, uliwahi kumwambia mtu ‘Nakupenda’ huku ukijua si kweli?
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumpoteza Rafiki Kisa Pesa
SAUTI YA MTAA : JE ULISHAWI KUONA MTU ALIYEFANANA KABISA NA MTU ULIYEKUWA UNAMKUMBUKA
SAUTI YA MTAA : Ni Kitu Gani kilikufanya Ukapoteza Imani kw Binadamu
SAUTI YA MTAA : Ni kipi Ulichoambiwa Ukiwa Mtoto Kilikuvunja Moyo hadi leo ?
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumuona Mzazi wako Akilia ? Ilikuaje ?
SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti