SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Ushawahi kumpoteza rafiki kwa sababu ya pesa? ”
Ulikuwa mnaaminiana… mlikuwa ndugu kuliko damu…
Lakini pesa ikatenganisha mioyo yenu.
Ni wewe ulimkopa, au ni yeye aliyekusaliti?
Ilikuwaje? Ulibaki na huzuni au ulijifunza kitu?
Tupia maoni yako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #UrafikiNaPesa #MaumivuYaNdani #UkweliWaJamii
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : JE ULISHAWI KUONA MTU ALIYEFANANA KABISA NA MTU ULIYEKUWA UNAMKUMBUKA
SAUTI YA MTAA : Ni Kitu Gani kilikufanya Ukapoteza Imani kw Binadamu
SAUTI YA MTAA : Ni kipi Ulichoambiwa Ukiwa Mtoto Kilikuvunja Moyo hadi leo ?
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumuona Mzazi wako Akilia ? Ilikuaje ?
SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti