
“Je, umaarufu wa TikTok unaathiri ubora wa muziki?
Siku hizi wimbo ukipata challenge ndio unahesabika.
Lakini je, kila wimbo unaotrend una ubora wa kudumu?
Au muziki umegeuka kuwa sauti ya sekunde 30 tu?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #TikTokMusic #Trend #Burudani
