“Je, kuna ahadi kubwa uliyowahi kupewa, lakini ikavunjika bila sababu? ”
Wengine waliwaahidi upendo…
Wengine elimu au kazi…
Ulipata kuumizwa na ahadi iliyoishia hewani?
Tuambie
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #AhadiZilizovunjwa
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Uliwahi kukosa msaada kutoka kwa ndugu zako, lakini wageni wakakusaidia zaidi ?
SAUTI YA MTAA : Je kuna siri kubwa imefichwa kwenye familia yenu?
SAUTI YA MTAA : Je uliwahi kuomba msamaha kutoka moyoni, lakini ukaambulia kukataliwa?
SAUTI YA MTAA : Ni tukio gani lilikufanya ukubali kwamba maisha si ya haki?
SAUTI YA MTAA : Ni ndoto ipi ambayo ulishindwa kuifanikisha hadi leo? Na kwa nini?”