“Je kuna siri kubwa imefichwa kwenye familia yenu? ”
Labda kuna jambo lililofichwa kwa miaka mingi…
Labda ni ukweli kuhusu mzazi, ndugu, au historia ya familia…
Au labda kuna jambo ambalo hukuruhusiwa kulijua hadi leo.
Kila familia ina hadithi ambazo hazisemwi – yako ni ipi?
Shirikisha mawazo au uzoefu wako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #SiriZaFamilia #UkweliUsiosemwa #HadithiZaKweli
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Je uliwahi kuomba msamaha kutoka moyoni, lakini ukaambulia kukataliwa?
SAUTI YA MTAA : Ni tukio gani lilikufanya ukubali kwamba maisha si ya haki?
SAUTI YA MTAA : Ni ndoto ipi ambayo ulishindwa kuifanikisha hadi leo? Na kwa nini?”