“Msanii mzuri huhitaji zaidi ya talanta. Huhitaji nidhamu, uelewa wa muda, na mtu wa kumwamini hata dunia ikimpinga.”
— Babu Tale, Meneja wa Wasanii na Mbunge
Ujumbe: Mafanikio ya msanii si kipaji pekee. Nidhamu, watu sahihi, na kujifunza kila siku ni nguzo za mafanikio ya kudumu. Kama wewe ni msanii, tafuta mtu wa kukuongoza – kama si meneja basi awe ndoto yako mwenyewe.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #BabuTale #WasaniiWadumu #UjumbeWaAsubuhi #SautiYaMtaa
Soma na Nukuu hizi Pia Utazipenda :
NUKUU : KUTOKA KWA ZAMARADI MKETEMA KUHUSU VIPAJI
NUKUU : KUTOKA KWA JUX KUHUSU UANDISHI WA NYIMBO
NUKUU : KUTOKA KWA VANESSA MDEE KUHUSU MUZIKI NA SAFARI BINAFSI
NUKUU : KUTOKA KWA WINSTON CHURCHILL KUUSU UJASIRI