NUKUU YA LEO KUTOKA KWA S2KIZZY KUHUSU UBUNIFU
“Producer bora si yule anayefanya beats nyingi – ni yule anayesikia sauti kabla haijatamkwa.”
— S2kizzy, Producer Maarufu wa Muziki Tanzania
Ujumbe: Ubunifu wa kweli huanza kwenye akili kabla haujasikika kwenye spika. Producer bora hutangulia mbele ya muziki – huusikia rohoni kabla haujaundwa. Hii ni karama ya kusikiliza kwa ndani zaidi.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
Soma na Nukuu hizi Pia Utazipenda :
NUKUU : KUTOKA KWA VANESSA MDEE KUHUSU MUZIKI NA SAFARI BINAFSI
NUKUU : KUTOKA KWA WINSTON CHURCHILL KUUSU UJASIRI