NUKUU YA LEO KUTOKA KWA VANESSA MDEE KUHUSU MUZIKI NA SAFARI BINAFSI
“Kupitia muziki nimejifunza kuwa huwezi kuwa mwanga wa wengine kama hujawahi kupitia giza lako mwenyewe.”
— Vanessa Mdee, Msanii na Mtangazaji kutoka Tanzania
Ujumbe: Mara nyingi watu wanaovutia na kusaidia wengine ni wale waliowahi kupitia maumivu makali. Giza la maisha linapokufundisha, linakutayarisha kuwa mwanga kwa wengine. Usione haya na historia yako — ndio silaha yako.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #VanessaMdee #MuzikiNiSafari #UjumbeWaAsubuhi
Soma na Nukuu hizi Pia Utazipenda :