SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Kipi kilichowahi kuua ndoto zako bila huruma? 💔”
Wakati mwingine sio uvivu, sio ujinga, sio kukosa bidii…
Lakini kuna jambo moja – au mtu mmoja – aliyevunja ndoto zako kwa sekunde chache tu.
Ilikuwa nini? Uliumizwa kiasi gani?
Tuambie hapa 👇
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #NdotoZilizokufa #UkweliWaMaisha
Somana Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Ushawai Kumuona Mzazi wako Akilia ? Ilikuaje ?
SAUTI YA MTAA : Je Kuna Mtu Aliyekujua Vizuri Kisha Akakusaliti