
“Kwa nini baadhi ya wasanii hubadilisha style wakishapata umaarufu? ”
Mwanzo walikuwa na sauti ya kipekee,
lakini wakishapata soko — wanabadilika kufuata trend.
Je, ni kukua kisanii au ni kukosa msimamo?
Wewe unaonaje?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Wasanii #Trend #Burudani
