SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Msanii akitumia wimbo wa zamani na kuupa maisha mapya, ni ubunifu au kukosa mawazo mapya

Download | Play Now
Msanii akitumia wimbo wa zamani na kuupa maisha mapya, ni ubunifu au kukosa mawazo mapya

“Msanii akitumia wimbo wa zamani na kuupa maisha mapya, ni ubunifu au kukosa mawazo mapya?”

Kuna nyimbo za zamani zinazorejeshwa kwa mitindo mipya na kupata mashabiki wapya. Wengine wanaona ni njia nzuri ya kuhifadhi historia ya muziki, lakini wengine wanaamini wasanii wanapaswa kuja na mawazo mapya kabisa.

Remake ya wimbo wa zamani inaweza kuwa bora kuliko original? Taja remake unayoipenda au ambayo unaona iliharibu wimbo wa awali!

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Remake #MuzikiWaKale #BongoFlava

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.