
“Je, msanii akighushi namba za streams na views, bado anastahili kuitwa msanii aliyefanikiwa? ”
Katika zama hizi, namba kubwa zinaweza kumfanya msanii aonekane yuko juu hata kabla watu hawajazungumzia ubora wa kazi yake.
Lakini umaarufu unaotokana na namba zisizo halisi una thamani gani mbele ya mashabiki na wadau wa muziki?
Wewe ungechagua msanii mwenye views nyingi au mwenye mashabiki wachache wanaounga mkono kazi zake kwa dhati? Toa sababu yako!
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Streaming #MusicIndustry #UkweliWaMuziki
