
“Je, promoter akimpa msanii nafasi ya bure kwenye show, huo ni msaada au ni njia ya kumtumia? ”
Wasanii wengi wanaochipukia hutafuta nafasi ya kupanda jukwaani ili watu waijue kazi yao. Wakati mwingine hulazimika kufanya maonesho bila malipo wakiamini yatakuwa daraja la mafanikio.
Lakini je, nafasi hiyo inawajenga kweli au inawafanya wafanye kazi bila kuthaminiwa?
Kama ungekuwa msanii mpya, ungekubali kupanda jukwaani bure ili upate mashabiki? Kwa nini?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #MusicPromoters #LiveShows #WasaniiChipukizi
