
R.I.P DJ TAILA 🇹🇿
Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki kwa DJ maarufu wa muziki wa Singeli, DJ Taila, kijana mdogo ambaye jina lake lilikuwa likifahamika katika muziki wa Singeli.
Poleni familia, ndugu, jamaa, marafiki na familia nzima ya Singeli kwa msiba huu.
Taarifa zaidi zitafuata.
#RIPDJTaila #Singeli #IKMziki
