
“Je, msanii akikaa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mashabiki wanapaswa kumsubiri? ”
Kuna wasanii wanaweza kukaa mwaka mzima bila kuachia kazi mpya.
Je, mashabiki wanapaswa kuwa wavumilivu au muziki ni ushindani usiosubiri mtu?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Wasanii #NewMusic #Burudani
