
Leo Tarehe 31-6 ni siku maalum kwa DJ na Producer Chidy Fantastic wa Pamoja Records, anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa
Chidy Fantastic anafahamika kwa ubora wake mkubwa akiwa stejini, hasa katika kazi zake na staa wa Singeli Mczo Morfan. Pia, wengi wanamfahamu kama ndugu wa Producer Duke Utauwa.
Timu ya IK MZIKI tunamtakia heri ya kuzaliwa, afya njema na mafanikio zaidi katika muziki na maisha yake yote.
Usiache kutufuatilia IK MZIKI kwa habari zote za muziki na burudani.
