Blog

SAUTI YA MTAA : Mshindi wa mashindano ya vipaji akishindwa kufanikiwa baada ya ushindi, tatizo ni lake au mfumo uliomzalisha

Download | Play Now
Mshindi wa mashindano ya vipaji akishindwa kufanikiwa baada ya ushindi, tatizo ni lake au mfumo uliomzalisha

“Mshindi wa mashindano ya vipaji akishindwa kufanikiwa baada ya ushindi, tatizo ni lake au mfumo uliomzalisha?”

Kushinda mashindano kunaweza kumpa mtu umaarufu wa ghafla, lakini safari ya baada ya ushindi huhitaji mipango, mafunzo na usimamizi. Wengine hupotea haraka, huku washiriki ambao hawakushinda wakija kuwa maarufu zaidi.

Mashindano yanapaswa kuwajibika kwa maisha ya mshindi baada ya ushindi, au jukumu lote linabaki kwa mshindi mwenyewe?

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #TalentSearch #VipajiVyaTanzania #Entertainment

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.