SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, kuna wasanii wanafake maisha ya utajiri ili waonekane wakubwa

Download | Play Now
Je, kuna wasanii wanafake maisha ya utajiri ili waonekane wakubwa

“Je, kuna wasanii wanafake maisha ya utajiri ili waonekane wakubwa? ”

Mitandao inaonyesha magari, pesa, maisha ya juu…
lakini je, yote ni ya kweli au ni image ya kuvutia mashabiki?
Unadhani game imejaa uhalisia au maigizo?

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Burudani #FakeLife #MusicIndustry