SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA Je, mashindano ya muziki (talent shows) yanazalisha mastaa wa kudumu au wa muda mfupi

SAUTI YA MTAA Je, mashindano ya muziki (talent shows) yanazalisha mastaa wa kudumu au wa muda mfupi

“Je, mashindano ya muziki (talent shows) yanazalisha mastaa wa kudumu au wa muda mfupi? ”

Kuna waliotoka kwenye mashindano wakawa wakubwa,
lakini wengi hupotea baada ya show kuisha.
Je, tatizo ni usimamizi au presha ya soko?

Wewe unaonaje?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #TalentShow #Wasanii #BurudaniYaBongo