NUKUU

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA HARMONIZE KUUSU MAFANIKIO

Download | Play Now
NUKUU YA LEO KUTOKA KWA HARMONIZE KUUSU MAFANIKIO

“Kila mafanikio yangu yametokana na kuamini wakati wengine walikuwa hawana imani nami.”
— Harmonize, Msanii na Mwanzilishi wa Konde Music Worldwide

Ujumbe: Mara nyingi dunia haitakuamini mwanzoni. Lakini imani yako binafsi ndiyo ngazi ya kwanza ya mafanikio. Endelea kusimama imara, matokeo yatakuwa sauti yako kubwa zaidi.

Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.

#NukuuYaLeo #IKMziki #Harmonize #AminiNdoto