
“Je, mashindano ya muziki (talent shows) yanazalisha mastaa wa kudumu au wa muda mfupi? ”
Kuna waliotoka kwenye mashindano wakawa wakubwa,
lakini wengi hupotea baada ya show kuisha.
Je, tatizo ni usimamizi au presha ya soko?
Wewe unaonaje?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #TalentShow #Wasanii #BurudaniYaBongo
