“Je, umewahi kuficha ukweli ili kumlinda mtu usiyemtaka aumie? “
Labda ulikaa kimya…
Labda uliandika uongo mweupe…
Je, ukweli huo ulijulikana baadaye? Uliathiri vipi uhusiano wenu?
Andika maoni
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #UkweliUliofichwa
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Je, kuna ahadi kubwa uliyowahi kupewa, lakini ikavunjika bila sababu
SAUTI YA MTAA : Uliwahi kukosa msaada kutoka kwa ndugu zako, lakini wageni wakakusaidia zaidi ?
SAUTI YA MTAA : Je kuna siri kubwa imefichwa kwenye familia yenu?
SAUTI YA MTAA : Je uliwahi kuomba msamaha kutoka moyoni, lakini ukaambulia kukataliwa?
SAUTI YA MTAA : Ni tukio gani lilikufanya ukubali kwamba maisha si ya haki?