E NEWS

BALAA MC : MIMI NDIYE MSANII NILITENGENEZA HIT NYINGI

MIMI NDIYE MSANII NILITENGENEZA HIT NYINGI

Msaanii wa singeli anayefahamika kama balaa mc ,ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa instagramu,kuwa yeye ndiye msanii anayefahamika kwa kuandika hit nyingi sana ,,,,na pia amezitaja hit hizo

1.NAKUJA
2.JEJE singeli
3.WE NANI
4.SHEGUA
5.STRESS
6.MZUKA
7.TAI CHI feat BADEST47

JE wewe unakubaliana na maneno ya Balaa mc

Also,more tracks from Balaa Mc:

AUDIO : Balaa Mc – I Promise You
AUDIO : Balaa Mc – Tunakesha Wapi 
AUDIO : Balaa Mc – Ananionea
AUDIO : Balaa Mc – Amepiga Nani
AUDIO : Balaa Mc Ft. Kayumba – Kijoti