SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, mashabiki wana haki ya kuamua msanii wao afanye nini na maisha yake binafsi kwa sababu wanamnunulia kazi zake

Download | Play Now
Je, mashabiki wana haki ya kuamua msanii wao afanye nini na maisha yake binafsi kwa sababu wanamnunulia kazi zake

“Je, mashabiki wana haki ya kuamua msanii wao afanye nini na maisha yake binafsi kwa sababu wanamnunulia kazi zake?”

Umaarufu unaweza kufanya watu wajisikie wana haki ya kujua kila kitu kuhusu msanii. Wanataka kujua anapoenda, anaishi vipi na anafanya nini nje ya kazi yake. Lakini msanii naye ni binadamu mwenye haki ya faragha.

Mashabiki wanapaswa kufuatilia kazi za msanii pekee, au umaarufu unamaanisha maisha yake yote yanakuwa mali ya umma?

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #MaishaYaWasanii #Mashabiki #EntertainmentDebate

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.