“Je uliwahi kuomba msamaha kutoka moyoni, lakini ukaambulia kukataliwa? “
Labda ulikuwa na makosa kweli…
Labda ulijinyenyekeza kwa dhati…
Lakini badala ya msamaha, ukakutana na ukimya au dharau.
Uliumia kiasi gani? Ulijifunza nini?
Tushirikishe hadithi yako. Maoni yako yanahesabika
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #UkweliWaMaumivu #MsamahaUliokataliwa #HadithiZaMaisha
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Ni tukio gani lilikufanya ukubali kwamba maisha si ya haki?
SAUTI YA MTAA : Ni ndoto ipi ambayo ulishindwa kuifanikisha hadi leo? Na kwa nini?”