E NEWS

RASMI: EP MPYA YA VAIRAS MDUDU “UKUBWA JALALA” SASA IMEACHIWA

RASMI EP YA VAIRAS MDUDU UKUBWA JALALA YAACHIWA

Msanii mahiri wa Singeli kutoka Tanzania, Vairas Mdudu, amerudi kwa kishindo! Baada ya kusubiriwa kwa hamu, hatimaye EP yake mpya yenye jina la “Ukubwa Jalala” sasa iko hewani rasmi kwenye mitandao yote ya muziki, na unaweza kuidownload kupitia IK MZIKI.

EP Hii Hapa : EP Vairasi mdudu – Ukubwa Jalala

Katika EP hii yenye ngoma 6 kali, Vairas Mdudu ameonesha ubunifu wa hali ya juu huku akiwaalika wakali kama Chembe Ze Don na Jeusi MC kwenye baadhi ya kazi.

“Ukubwa Jalala” ni EP ya pili kutoka kwa Vairas Mdudu, ikifuata baada ya ile maarufu ya awali iitwayo “Ashiii EP”.

Hizi hapa ni ngoma zilizopo kwenye EP ya “Ukubwa Jalala”:

Vairas Mdudu Ft. Chembe Ze Don – Ukubwa Jalala
Vairas Mdudu – Binadamu
Vairas Mdudu – Kapiga Konda
Vairas Mdudu – Fuko la Bangi
Vairas Mdudu – Punguza Mapozi
Vairas Mdudu Ft. Jeusi MC – Napiga Guu

EP hii ni ya moto, kila track ni hadithi yenye nguvu na ladha ya mtaa halisi!

Usikose kusikiliza na kushiriki na wenzako – tembelea sasa [IKMZIKI] na upakue nyimbo zote!

#VairasMdudu #UkubwaJalalaEP #Singeli2025 #IkMziki #SingeliFlava