
“Tatizo ni kwamba tunakula na tusio shinda nao njaa.”
— Luca Show, Msanii
Katika safari ya maisha, sio kila anayekaa mezani na wewe ndiye aliyepitia njaa yako. Wapo wanaokuja wakati mambo yamekaa sawa, lakini hawajui maumivu, mapambano na kujinyima uliyopitia. Nukuu hii inatukumbusha kuwa na busara, kuthamini waliokuwepo wakati wa shida, na kutambua kuwa si kila rafiki wa sasa ni mshirika wa safari nzima.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #LucaShow #UhalisiaWaMaisha #Kupambana
