SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Wasanii wa sasa wanawakilisha jamii au wanachafua jamii

Wasanii wa sasa wanawakilisha jamii au wanachafua jamii

SAUTI YA MTAA

“Wasanii wa sasa wanawakilisha jamii au wanachafua jamii?”

Wana mashabiki, wana ushawishi, sauti yao inasikika mbali…
Lakini wanaimba nini? Wanawafundisha nini vijana?
Ni burudani au ni sumu ya taratibu?

Soma Pia : SAUTI YA MTAA : Je, ni kweli wasanii wakifanikiwa husahau walikotoka na watu waliowasaidia

Je, muziki wa sasa ni kioo cha jamii au ni kivuli kinachoifunika? Toa maoni yako hapa chini.

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MuzikiNaMaadili #JamiiNaWasanii