SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, ni kweli wasanii wakifanikiwa husahau walikotoka na watu waliowasaidia

Wasanii Wanasahau Walipotoka

“Je, ni kweli kuwa wasanii wengi wakifanikiwa husahau walikotoka na watu waliowasaidia?”

Tulikuwa nao mtaani, tulishangilia nyimbo zao kabla hazijajulikana. Lakini sasa… hawapokei simu, hawarudi mtaani, hawajui tena majina yetu.

Soma Hii Pia : SAUTI YA MTAA : WALIOUMIZWA WANAWEZA KUPENDANA

Ni maendeleo au ni dharau?
Je, mafanikio yanabadilisha tabia au yanamfichua mtu halisi?

👇 Toa maoni yako.
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #SwaliTata #MzikiWetu #WasaniiNaMafanikio