AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA PADRE RICHARD A. MJEMA KUUSU ROHO YA BINADAMU

NUKUU KUTOKA KWA PADRE RICHARD A. MJEMA KUUSU ROHO YA BINADAMU

β€œTunaishi katika ulimwengu wa haraka sana, lakini roho ya binadamu bado inahitaji utulivu, sala na upendo wa kweli.”
β€” Padre Richard A. Mjema, Kiongozi wa Kiroho na Mwandishi wa Mafundisho ya Kiimani

πŸ“Œ Ujumbe: Maendeleo ya teknolojia na kasi ya maisha ya kisasa hayawezi kuchukua nafasi ya mahitaji ya ndani ya mwanadamu. Roho inahitaji nafasi ya kimya, kutafakari, na kuungana na Mungu kupitia sala na upendo wa kweli. Usikubali maisha ya kasi yakunyime amani ya ndani.

πŸ• Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.

#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi #UtulivuWaRoho