NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Mahatma Gandhi (Kiongozi wa Harakati za Amani na Uhuru, India)
“Kuwa mabadiliko ambayo unataka kuyaona duniani.”
📌 Ujumbe: Badala ya kusubiri dunia ibadilike, anza wewe mwenyewe. Mabadiliko ya kweli huanzia ndani yetu — kwenye tabia, maamuzi, na matendo ya kila siku. Dunia huiga yale tunayoyaishi.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
👉 Tujiunge Nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi