
“Msanii akitumia wimbo wa zamani na kuupa maisha mapya, ni ubunifu au kukosa mawazo mapya?”
Kuna nyimbo za zamani zinazorejeshwa kwa mitindo mipya na kupata mashabiki wapya. Wengine wanaona ni njia nzuri ya kuhifadhi historia ya muziki, lakini wengine wanaamini wasanii wanapaswa kuja na mawazo mapya kabisa.
Remake ya wimbo wa zamani inaweza kuwa bora kuliko original? Taja remake unayoipenda au ambayo unaona iliharibu wimbo wa awali!
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Remake #MuzikiWaKale #BongoFlava
