SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kampuni ikitumia wimbo wa msanii kwenye tangazo bila kumlipa, ni matangazo ya bure au ni unyonyaji

Download | Play Now
Kampuni ikitumia wimbo wa msanii kwenye tangazo bila kumlipa, ni matangazo ya bure au ni unyonyaji

“Kampuni ikitumia wimbo wa msanii kwenye tangazo bila kumlipa, ni matangazo ya bure au ni unyonyaji?”

Wimbo unaweza kuifanya biashara ijulikane zaidi, lakini pia biashara inaweza kuupa wimbo nafasi ya kusikika kwa watu wengi. Changamoto ni pale kazi ya msanii inapotumika kibiashara bila makubaliano ya wazi.

Unadhani kutumia wimbo bila ruhusa kunaweza kuhalalishwa kwa sababu tu msanii amepata umaarufu? Toa msimamo wako!

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Hakimiliki #MusicBusiness #WasaniiWaTanzania

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.