SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, wimbo unaweza kuwa mkubwa bila kutajwa redioni, televisheni wala na wanablogu wa muziki

Download | Play Now
Je, wimbo unaweza kuwa mkubwa bila kutajwa redioni, televisheni wala na wanablogu wa muziki

“Je, wimbo unaweza kuwa mkubwa bila kutajwa redioni, televisheni wala na wanablogu wa muziki? ”
Kuna nyimbo zinazoenea kwa nguvu ya mashabiki, video fupi, dansi na kushirikishwa mitandaoni bila kampeni kubwa za vyombo vya habari.

Hii inaibua swali: je, zama za sasa zimewapa wasanii uhuru wa kujitangaza, au vyombo vya habari bado vina nguvu kubwa kuliko tunavyodhani?
Taja wimbo unaoujua uliotikisa watu bila promo kubwa ya vyombo vya habari!

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #ViralMusic #MusicMarketing #BurudaniYaBongo

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.