E NEWS SINGELI

MADEBE ATAKIWA KUFATA WATOTO WAKE KWA CHANUO

Download | Play Now
MADEBE ATAKIWA KUFATA WATOTO WAKE KWA CHANUO

Mtangazaji wa DSTV anayefahamika kwa jina la Maimartha Wajesse, kupitia mahojiano aliyofanya hivi karibuni, ametoa ushauri kwa muigizaji Maadebe Lidai, akimtaka kwenda kuwachukua na kuwahudumia watoto wake aliozaa na aliyekuwa mke wake, muigizaji Chanuo Nchakali.

Maimartha amesema kuwa ni muhimu kwa mzazi kusimama na watoto wake hasa katika kipindi ambacho wanapitia changamoto mbalimbali za maisha, akisisitiza wajibu wa wazazi katika malezi na ustawi wa watoto.

Wewe una maoni gani kuhusu ushauri huo? Tuambie kwenye comments.

#IKMZIKI #HabariZaMastaa #BongoMovie #MaimarthaWajesse #MaadebeLidai #ChanuoNchakali #BurudaniYenyeAkili