
AARIFA YA MSIBA
Mwanafamilia mwenzetu katika tasnia ya muziki na habari, **Amsha Music (Amsha Media)** amefiwa na baba yake. Msiba upo **Tabata**.
Kwa watakaokwenda **kuaga**, tafadhali wafike mapema. Kwa watakaokwenda **kuzika**, usafiri umeandaliwa kwa **nauli ya TSh 10,000**.
Mwenyezi Mungu amrehemu marehemu na awape familia subira na faraja.
