
“Je, kuna wasanii wanafake maisha ya utajiri ili waonekane wakubwa? ”
Mitandao inaonyesha magari, pesa, maisha ya juu…
lakini je, yote ni ya kweli au ni image ya kuvutia mashabiki?
Unadhani game imejaa uhalisia au maigizo?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Burudani #FakeLife #MusicIndustry
