E NEWS

HERI YA MWAKA MPYA ASANTENI IK MZIKI TUNAENDELEA MBELE

Download | Play Now
HERI YA MWAKA MPYA ASANTENI IK MZIKI TUNAENDELEA MBELE

Mwaka mpya, mwanzo mpya
Nawashukuru sana mashabiki wote wa IK MZIKI kwa upendo na sapoti yenu isiyo na kifani.
Mwaka huu tunakuja na moto zaidi, muziki zaidi, na baraka zaidi
Endeleeni kuwa nasi, safari bado inaendelea.

Heri ya Mwaka Mpya!