
Staa wa muziki wa Singeli, mdada maarufu Anti Vairas, anatarajia kutimkia nchini Uganda kwa ajili ya kupiga perfomance kali katika tamasha kubwa la Nyege Nyege Festival 2025.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kuanzia Novemba 20 hadi 23, na litawakutanisha wasanii mbalimbali kutoka Afrika Mashariki na dunia nzima.Hii ni hatua kubwa kwa Anti Vairas, ikionyesha jinsi muziki wa Singeli unavyozidi kupaa kimataifa.
Endelea kufuatilia IK MZIKI kwa taarifa zaidi kuhusu ujio wake Uganda na matukio yote makubwa ya burudani!
#AntiVairas #NyegeNyege2025 #SingeliToTheWorld #IKMZIKI
