
SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Ulishawahi kuachwa na mtu ghafla bila hata neno moja la sababu? ”
Kuna kuondoka kwa kimya kunakouma zaidi kuliko maneno makali.
Wewe uliwahi kupitia hili? Ulijisikiaje?
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #KuachwaBilaSababu