SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, kuna jambo uliloficha kwa wazazi wako hadi leo na hujawahi kulisema

Download | Play Now
Je, kuna jambo uliloficha kwa wazazi wako hadi leo na hujawahi kulisema

“Je, kuna jambo uliloficha kwa wazazi wako hadi leo na hujawahi kulisema? ”

Siri zingine zinabaki ndani mioyoni…
Ulishawahi kubeba mzigo wa siri kubwa nyumbani?
Tueleze hapa

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #SiriZaFamilia

Soma na Hizi Pia :

SAUTI YA MTAA : Ulishawahi kumpotezea heshima mtu uliyewahi kumheshimu sana
SAUTI YA MTAA : Ni kumbukumbu ipi ya utotoni ambayo bado inaathiri maisha yako ya utu uzima ?
SAUTI YA MTAA : Ni nani aliyewahi kukuamini wakati kila mtu alikugeuka
SAUTI YA MTAA : Je, umewahi kuficha ukweli ili kumlinda mtu usiyemtaka aumie
SAUTI YA MTAA : Je, kuna ahadi kubwa uliyowahi kupewa, lakini ikavunjika bila sababu