“Ni nani aliyewahi kukuamini wakati kila mtu alikugeuka? ”
Wakati dunia yote inakupinga, sauti moja ya imani hubeba uzito mkubwa.
Je, nani alikuwa mwanga wako kwenye giza?
Shiriki ushuhuda
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #UaminifuWaKweli
SAUTI YA MTAA : Je, umewahi kuficha ukweli ili kumlinda mtu usiyemtaka aumie
SAUTI YA MTAA : Je, kuna ahadi kubwa uliyowahi kupewa, lakini ikavunjika bila sababu
SAUTI YA MTAA : Uliwahi kukosa msaada kutoka kwa ndugu zako, lakini wageni wakakusaidia zaidi ?
SAUTI YA MTAA : Je kuna siri kubwa imefichwa kwenye familia yenu?
SAUTI YA MTAA : Je uliwahi kuomba msamaha kutoka moyoni, lakini ukaambulia kukataliwa?