SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Je, wanawake kwenye muziki wanahukumiwa zaidi kwa muonekano kuliko kipaji?”
Tuambie ukweli…
Je, jamii inaangalia sauti yao au maumbo yao?
Kama asingekuwa mrembo, bado ungemtambua kwa kipaji chake?
Soma na hii pia : SAUTI YA MTAA : Je Uliwai kuwa Chanzo cha Maumivu kwa Mtu Mwingine
Tuchambue hili kwa uwazi hapa👇
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #WanawakeNaMuziki #UkweliWaJamii