AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA SHERYL SANDBERG KUUSU NAFASI

NUKUU KUTOKA KWA SHERYL SANDBERG KUUSU NAFASI

“Ikiwa nafasi haipo mezani, usingoje — tengeneza meza yako mwenyewe. Uwezo hauombi nafasi, unaumba nafasi.”
— Sheryl Sandberg, Mwandishi, Mjasiriamali na Makamu wa Rais wa Zamani wa Facebook (Meta)

📌 Ujumbe: Wakati mwingine dunia haitaandaa nafasi kwa ajili yako — lakini hilo halikuzuii kuibuni nafasi yako mwenyewe. Badala ya kungoja kuitwa, chukua hatua, jitengeze njia, na uonyeshe thamani yako. Kujiamini na uthubutu vinaweza kufungua milango ambayo haikuwepo.

🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.

#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi #SherylSandberg #TengenezaNafasiYako